Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Hapana mimi ni Team Brazil, lakini ni shabiki wa kutupwa wa Messi nampenda sana.Huku tushajaa we ungetafuta timu nyingine ya kuishabikia
Mkishaona tu timu nzuri inacheza basi lazima mje upande wetu
Nitake radhi Mkuu, tangu dunia iumbwe sijuagi kuna kiumbe kinaitwa Messi [emoji57]Ukitulia uwa unachambua mpira vizuri ila ukishalewa Sifa za Messi unakua kama kichaa
KING MESSI. yule mwenye ballon dioo 7.Messi huyu huyu hadi refa ampe penati ndio afunge au wew unazungumzia Messi yupi
Uliangalia ile game waliyotolewa afcon?Sema wanakamia game kwani Hawa wachezaji wao hawakuwepo afcon?[emoji28]
Najua hujalala tuendelee kuwashangilia wakoloniπ π byeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo nimekupenda[emoji12]
Kaka shughuli yetu haiendi matuta, tunamkanda mtu mapema tuUfaransa wawe makini sn, moroco km watarudisha goli bas watazuia weee. Na wakifika matuta ujue moroco anapita. Haww wanatakiwa wafungwe magoli ya chap chap
Aliyekosa bao la wazi ni FofanaGiroud kakosa magoli mawili tena ya wazi kabisa daaah...[emoji57]
Maajabu utashangaa atakuja kufunga goli gumu kweli [emoji38]
ahaaa kumbe yule aliyepewa 2010 na 2020 za wezake apo sawa nimekupataKING MESSI. yule mwenye ballon dioo 7.
Sipendagi huo mpira wa timu ndogo ndogo za kujihami.Leo hakuna Cha kupaki Basi dadekiπ π π π
Pole timu Andunje kwa kuiombea mabaya France ili isiingie fainali kubeba kombe la dunia [emoji23]Morocco waleeeeeeeee fainali
Muda badoKaka shughuli yetu haiendi matuta, tunamkanda mtu mapema tu
Moroco leo wamefunguka sn, kumbe wanaweza kucheza vzr hiv yn mpira unaovutia sio kuzuia tu na kukaba. Wamekosa magoli dk hiz za mwisho. Kipind cha pil mechi itanoga zaidiWow. What a game. Morocco wanafunguka kutafuta chochote kitu France nao wanatuonesha namna ya kuzicheza game kama hizi. Wana uwezo wa kushambulia lakiniwanaonesha discipline kubwa.
Morocco wana vipaji sana
Hivi kumbe nawe unapendaga mpira kiivi??Wanajua kushangilia aisee hadi nimewapenda