Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hata Mimi mwenyewe nimeshangaa ni giroud ndio amekosa clear chanceMnatazamaje mpira?
Giroud kagongesha mwamba.
Chance ya 2, hakutulia kafanya haraka kupiga langoni.
Hata huyu kuna muda alipaisha.Mnatazamaje mpira?
Giroud kagongesha mwamba.
Chance ya 2, hakutulia kafanya haraka kupiga langoni.
Kwani Croatia si walishawafunga Argentina huko nyuma ila kichapo walichopewa jana imebaki historiaWaache wajifariji mana wote tu mfa maji mda wowote wanakata roho Argentina wanaogopa kukatana na France zile Goli nne pale Russia bado zipo kichwani mwako ule mgoli wa pavard unazan watasahau Goli lilishinda Tuzo ya Goli Bora unazan watasahau
J2 twenzetu QatarSilalii hadi j2 tutwae kombe team 🇦🇷
Ndo mfunge bas jmn, siwapendi moroco mm hawwchelewi kuharibu shughuliShughuli sio yenu hii wenyewe tunajua namna ya kucheza hizi gemu
Ufaransa ya mwaka 2018 sio Africa sema tu wapo ufaransaakuna team ya africa
Niache 😄😄😄😄 wewe jua tu nampenda kama navyowapenda mabitoz wa Brazil...Hivi huyo Messi kakufanya nn hadi ufie kwake?
Wachukueni hata wote, jichanganye mjijumlishe halafu mje😁Huyu namba nane wa Morocco tutafanya mambo tumuibe huku Argentina acheze finali tupige hawa wakimbizi
Mbappe ametoa assist?Alichokifanya Messi jana kimefanywa na Mbappe lakini kwasababu sio kazi yetu kupiga kelele kumsifia Mbappe tunakaa kimya
Na hawa virikou wanajidai hawaoniAlichokifanya Messi jana kimefanywa na Mbappe lakini kwasababu sio kazi yetu kupiga kelele kumsifia Mbappe tunakaa kimya
Na bahati mbaya hakuwepo mchezaji wa kumalizia kazi nzuri ya MbappeAlichokifanya Messi jana kimefanywa na Mbappe lakini kwasababu sio kazi yetu kupiga kelele kumsifia Mbappe tunakaa kimya
Book me a one way ticketJ2 twenzetu Qatar