Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tbc mnataka kufanya nn tena inaganda mtanifanya niende kibanda umiza usikuu huu
 
Huyu namba nane wa Morocco tutafanya mambo tumuibe huku Argentina acheze finali tupige hawa wakimbizi
 
Waache wajifariji mana wote tu mfa maji mda wowote wanakata roho Argentina wanaogopa kukatana na France zile Goli nne pale Russia bado zipo kichwani mwako ule mgoli wa pavard unazan watasahau Goli lilishinda Tuzo ya Goli Bora unazan watasahau
Kwani Croatia si walishawafunga Argentina huko nyuma ila kichapo walichopewa jana imebaki historia

Mkamlete failure Ronaldo, mkamkusanye na mbappe, mkamkusanye giroud, giezman , mkamkusanye dembele na wengine wote mnaodhan ni matop wenu bado mtalalia miba
 
Back
Top Bottom