son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Hio imezimu miaka yote imeisaidia nn Africa bhanaTatizo walitudharau wafrika sasa mizimu ya mababu kutoka kila pembe ya afrika imewatenga[emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu ya afrika haina mweusi hata mmoja halafu timu ya wazungu imejeza weusi. And they're proud for having black men.
Mizimu ya pangani imekasirika sana[emoji28]
Kila la heriiTusubiri na final result, niliunganisha jamvi[emoji28][emoji28]
Huu huu na atabaki nalo hili kombe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda acheze.mpira mpya, sio huu na wa England.
Vipi unazibeza mbinu zetu? Soma ubao.Kwamba mpaki basi dhidi ya Morocco then mcheze counter?
Hili sio tatizo sababu hao ni wafaransa kama ambavyo wazungu wa SA ni wa afrika. Tatizo ni kauli za ajabu ajabu walizotoa.Timu ya afrika haina mweusi hata mmoja halafu timu ya wazungu imejeza weusi. And they're proud for having black men.
Mizimu ya pangani imekasirika sana😅
Wavaa kobazi sio?Mashabiki wamezomea hadi wamechoka
Kipindi cha pili wapiga sana mpira ila mwendo naoana wanaumaliza hovyo mpaka 2026 tenaMorocco waleeeeeeeee fainali
Kaharibu kiungo.Wala kocha hana la kulaumiwa hapo, jamaa ni bonge la kocha sema hao wachezaji wake ndo uwezo mdogo kufunga magoli.
Litakuwa kombe la uji.Huu huu na atabaki nalo hili kombe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Allahu AkbarWakimbizi Leo mmepata chaka la kujifichia
Siku zenu haziko mbali