Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Kumzidi kivipi mkuuAah mbona Messi ni fanboy wa maradona ila bado wanalinganishwa tu.
Hiyo sio sababu...sababu ni uwezo.
Mbappe ashamzidi Ronaldo tena mbali tu.
Nipo Croatia[emoji111]Tarehe 17
..Mbappe hanaga swaga za mbeleko, peleka huo uchuro wa kubebwa bebwa kwa Messi wenu [emoji2]
Asante kwa kutambua hilo, wapo vizuri kwa kiasi chake, natumani wakati ujao watafika mbali zaidi ya hapa. Ila hawakukosa cha kujifunzaSasa rasmi tunasema Morocco ya waarabu imeshindwa kwenda Final...
Itagombea mshindi wa 3.
Ingeenda final tungeendelea kusema Africa yaani tit for tat...
Pamoja na yote wameonyesha mfano, wameupiga mwingi Morocco si haba...
Messi akiwa analilia sura lake likua halina tofauti na Tumbili za mikumi national parkHii picha imepigwa J2View attachment 2447106
Hutasikia tena kelele za waarabu koko wala wafia dini, na ndiyo mwanzo wa kupumzika humu JF kwa nyuzi za vibwengo [emoji38][emoji2960]I'm very happy so happy
Kubabeq,yakaendeleze ubaguzi kwao huko
Na yale masemaji yao,wajipendekeze angalau yakawabebee mabox.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkuu Proved mambo vipi?Ujue watu mnajidanganya na kujipa matumaini ya kuishi kama mgonjwa wa cancer stage IV, ipo hivi bila kupepesa macho hata Morocco wanajua hawaendi final, namnukuu Napoleon Bonaparte moja ya majenerali wakubwa zaidi duniani kuwahi kutokea katika historia anasema "God favours the side with the best artillery" hizi ngonjera za kudanganyana eti Morocco ana defense kali mtashangaa leo, defense waitumie kupunguza idadi ya Magoli, wakisema wajiachie washambulie ndio watapigwa vibaya, ukichuchumaa nchale, ukisimama nchale... Mashabiki wa Morocco acheni kutolea reference Portugal, Spain...
Yalijipa usemaji wa mchongoHutasikia tena kelele za waarabu koko wala wafia dini, na ndiyo mwanzo wa kupumzika humu JF kwa nyuzi za vibwengo [emoji38][emoji2960]
Tulia usiwastue wanaweza wasiangalie hata mechi yenyeweDuchamp ni tactician mzuri sana. Argentina wasipokaa vizuri wanakufa
Haisaidii kitu na nimejiandaa kuona hao kenge wa bluu wakichezea kichapo kingine tena toka kwa Croatia japo Croatia ni timu kuunga unga [emoji3526]Sasa rasmi tunasema Morocco ya waarabu imeshindwa kwenda Final...
Itagombea mshindi wa 3.
Ingeenda final tungeendelea kusema Africa yaani tit for tat...
Pamoja na yote wameonyesha mfano, wameupiga mwingi Morocco si haba...
We sura yako inafanana na nini?Hii picha imepigwa J2View attachment 2447106
Argentina wana timu mbili ndani ya timu moja (Messi na timu ya Argentina)... Ufaransa wajipange Sana.Duchamp ni tactician mzuri sana. Argentina wasipokaa vizuri wanakufa
Hawakutushirikisha kwenye shibe, sasa wanataka tushiriki njaa yao? Hapana aisee. Kufungwa kwa leo ni kwa wamorocco, waarabu na waislamu woteMorrocco walivyoshinda wakasema ushindi ni maalumu kwa ajili ya waarabu, ngozi nyeusi mlimaindi
Sasa wamepigwa, sioni ile nguvu yenu yakufosi undugu kuwa kipigo hicho ni cha wote
Huu ndio unafki ambao hatuutaki