Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Kumzidi kivipi mkuuAah mbona Messi ni fanboy wa maradona ila bado wanalinganishwa tu.
Hiyo sio sababu...sababu ni uwezo.
Mbappe ashamzidi Ronaldo tena mbali tu.
Hawa watoto kina Mbape Haaland na wengineo mpaka aashinde balon d or kadhaa ndo inabidi walinganishwe na hao magwiji wengine
Sasa hivi waachwe walisakate kabumbu
Kama uliona tobo alilopigwa👇🏿👇🏿👇🏿 huyu jamaa gonga like
Jamaa adi anamfata dogo anamuambia "umeshindwa hata kunivungia mkuu na upaa wote huu!"
Dogo anasema " aaaa hamna wembe ni ule ule...mwendo wa kiberenge tu"
Usiku mwema