Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Aah mbona Messi ni fanboy wa maradona ila bado wanalinganishwa tu.
Hiyo sio sababu...sababu ni uwezo.
Mbappe ashamzidi Ronaldo tena mbali tu.
Kumzidi kivipi mkuu

Hawa watoto kina Mbape Haaland na wengineo mpaka aashinde balon d or kadhaa ndo inabidi walinganishwe na hao magwiji wengine

Sasa hivi waachwe walisakate kabumbu

Kama uliona tobo alilopigwa👇🏿👇🏿👇🏿 huyu jamaa gonga like

images - 2022-12-15T000616.913.jpeg


Jamaa adi anamfata dogo anamuambia "umeshindwa hata kunivungia mkuu na upaa wote huu!"

Dogo anasema " aaaa hamna wembe ni ule ule...mwendo wa kiberenge tu"

Usiku mwema
 
Sasa rasmi tunasema Morocco ya waarabu imeshindwa kwenda Final...
Itagombea mshindi wa 3.
Ingeenda final tungeendelea kusema Africa yaani tit for tat...
Pamoja na yote wameonyesha mfano, wameupiga mwingi Morocco si haba...
Asante kwa kutambua hilo, wapo vizuri kwa kiasi chake, natumani wakati ujao watafika mbali zaidi ya hapa. Ila hawakukosa cha kujifunza
 
I'm very happy so happy
Kubabeq,yakaendeleze ubaguzi kwao huko
Na yale masemaji yao,wajipendekeze angalau yakawabebee mabox.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hutasikia tena kelele za waarabu koko wala wafia dini, na ndiyo mwanzo wa kupumzika humu JF kwa nyuzi za vibwengo [emoji38][emoji2960]
 
Ujue watu mnajidanganya na kujipa matumaini ya kuishi kama mgonjwa wa cancer stage IV, ipo hivi bila kupepesa macho hata Morocco wanajua hawaendi final, namnukuu Napoleon Bonaparte moja ya majenerali wakubwa zaidi duniani kuwahi kutokea katika historia anasema "God favours the side with the best artillery" hizi ngonjera za kudanganyana eti Morocco ana defense kali mtashangaa leo, defense waitumie kupunguza idadi ya Magoli, wakisema wajiachie washambulie ndio watapigwa vibaya, ukichuchumaa nchale, ukisimama nchale... Mashabiki wa Morocco acheni kutolea reference Portugal, Spain...
Mkuu Proved mambo vipi?
 
Sasa rasmi tunasema Morocco ya waarabu imeshindwa kwenda Final...
Itagombea mshindi wa 3.
Ingeenda final tungeendelea kusema Africa yaani tit for tat...
Pamoja na yote wameonyesha mfano, wameupiga mwingi Morocco si haba...
Haisaidii kitu na nimejiandaa kuona hao kenge wa bluu wakichezea kichapo kingine tena toka kwa Croatia japo Croatia ni timu kuunga unga [emoji3526]
 
Morrocco walivyoshinda wakasema ushindi ni maalumu kwa ajili ya waarabu, ngozi nyeusi mlimaindi

Sasa wamepigwa, sioni ile nguvu yenu yakufosi undugu kuwa kipigo hicho ni cha wote

Huu ndio unafki ambao hatuutaki
Hawakutushirikisha kwenye shibe, sasa wanataka tushiriki njaa yao? Hapana aisee. Kufungwa kwa leo ni kwa wamorocco, waarabu na waislamu wote
 
Back
Top Bottom