Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hilo hata mimi nimelieleza sehemu na hii ilishaonekana kuwa anaandaliwa kwa ajili ya kuja kufuta ufalme wa Pele maana hakuna mfalme wa Soka bila kushinda World Cup vijamaa vikaanza niita timu CR7.
Kwa hiyo ni mwendelezo kuanzia baselona walipomuondoa gaucho ili mesi aonekane ?!
Kama ni hivyo basi program imefanikiwa kwa asilimia kubwa ila Mwenyezi Mungu naye ni fundi!!
Ngoja tuone hitimisho!!!

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wanaosema messi kaandaliwa ni timu Ronaldo anamaliza soka lake kinyonge unaanza vizuri unamaliza vibaya,Messi ni kiumbe aliyebarikiwa kipawa kwenye soka...acheni maneno ya kujifariji...mpira unachezwa hadharani vijana wa hovyo.
 
Watu mnamchukia messi kuliko mfano...ombeni na nyie mpate japo nusu ya kismati chake mpendwe kama hivi aisee..kama sheria zote za FIFA zinapindishwa kwa ajili ya mtu mmoja tuu Messi basi hii sio jambo dogo...muwaombee hata mwana ukoo wako mmoja apate hii kengekewa ukishindwa ww..
 
Kwahyo kisa lewandowsk hakupata bas na yy sio bora et
 
Kuna comments nyingine unaweza soma unabaki kujiuliza huyu mtu anaandika kwa sababu tu ana smartphone au itakua channel hazishiki.

Tunakubali Messi ni mkali lakini hebu rudia kusoma huo utumbo uuelewe kwanza kabla hujanitukana. Asante
 
Ni waafrica kwa sababu nchi yao iko bara la Africa. Ni Waarabu kwa sababu ni wanachama wa nchi za kiarabu, ni wazungu kwa sababu wanatumia baadhi ya tamaduni za kizungu kama kuongea kifaransa na kumiliki visiwa kwa ubia na Hispania. Mambo ni mengi
Ondoa maneno Yako kwenye Hansard hatuna nchi Africa inayoitwa Morocco
 
Nilichogungua watu wengi wanaomchukia sana Messi ni mashabiki wa Man United maana kila walipokuwa wanakutana kwenye champion league na Barcelona, Messi alikuwa anawakata stimu vibaya sana
England kwa ujumla hawamtaki Messi,ukiacha kufunga timu zote kubwa za huko pia hajacheza kwenye ligi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…