Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Huyu jamaa hana nafasi kwa Deschamps.Mimi sina maneno mengi
Kwa uchache tu ,huyu ni Muft Ustadh Benzema.
Ni hayo tu.
Wale viberenge tuangalie tu wasije leta mafuriko ya machozi kwenye ardhi ya Mola.
J2 ,na vile watu wafupi walianza kulia huwa hawanyamazi haraka.
View attachment 2447375
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app