Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Uliangalia lile vibe la France 2018 kuanzia wanavyobeba kombe uwanjani, hadi kule changing room walivyokuwa na president wao mpaka wanavyoingia kwenye ndege kurudi kwao, asee sidhani kama kuna nchi itakuja shangilia WC kama walivoshangilia France that year
Sasa wakibeba Argentina u afikiri hali itakuwaje kama tu kufika semi final naskia huko Argentina walikuwa wanapeperusha jezi ya Messi kwenye holicopter

Wakichukua kombe unafikiri huko angani kutakuwaje?
 
Ukipenda wimbo unatakiwa upende na France akichukua kombe

Wimbo na kombe ni vitu vinavyoenda sambamba

Ukisema unapenda wimbo halafu hupendi kuona France anabeba ndoo ni sawa na kusema dagaa huli ila unapenda tu mchuzi wake.

Karibu hiyo jumapili ushuhudie France tukichukua ndoo yetu back to back
Siko upande wenu huo...
Hata 2018 nilikuwa Croatia....

Nawapenda sababu wana Vibe..

Ila WC hii.....Maombi yangu yapo na Messi....
 
Yeah kwa kweli 2018 hata mimi nilikuwa upande wa France tangia mwanzo, na nilikuwa nafuatilia clips zao zote zilizosambaa wakiwa wanashangilia kombe basi hadi raha, ila mwaka huu wakishinda tena naona kama itaboa
Mimi nilikuwa Croatia[emoji28]
Nilipenda tu walivyomuimbia Kantè ule wimbo...
 
Siko upande wenu huo...
Hata 2018 nilikuwa Croatia....

Nawapenda sababu wana Vibe..

Ila WC hii.....Maombi yangu yapo na Messi....
Aisee mbona we una bahati mbaya hivyo kushangilia timu ambazo hazichukui ubingwa?

Messi muombee amalize mechi salama tu bila majeraha pia na kumuomba Mungu amtie moyo katika kipindi kigumu atachokuwa anapitia
 
Messi bana hua kuna kitu ananifurahisha. Kuna mambo yanaweza kutokea watu wakamsema we naona sijui hua anawasikia, ghafla utaona anatafuta mpira akiupata lazima asombe kijiji mita kadhaa hadi kwenye 18 yao
Messi ni habari nyingine yule kiumbe...

Na ile humbleness ako nayo watu wanataka kumlinganisha na vitu visivyoeleweka.
 
Mimi sina maneno mengi
Kwa uchache tu ,huyu ni Muft Ustadh Benzema.
Ni hayo tu.


Wale viberenge tuangalie tu wasije leta mafuriko ya machozi kwenye ardhi ya Mola.
J2 ,na vile watu wafupi walianza kulia huwa hawanyamazi haraka.


View attachment 2447375

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kabla sijaanza kuscream nikaumbuka naomba source[emoji2]. Mana kila saa naenda kuchungulia kwa fabrizio sjaona kaliongelea hili popote
 
Sasa angechezea Cameroon angefika hata 16 bora, kuna wakati inabidi mtu uukane utaifa wako ili upate kinachostahili. Huyu dogo ana nafasi ya kuwa mfungaji bora, anaweza kuchukua kombe la dunia kitu ambacho angekuwa huko Cameroon ingekuwa ndoto tu
Sasa yeye hakutaka kuukana utaifa wake, aliomba kuchezea Cameroon akakataliwa alipoomba kuchezea France ndio akakubaliwa, anyway nafikiri hata Yeye sasa hivi atakuwa anashukuru Cameroon walimkatalia
 
Aisee mbona we una bahati mbaya hivyo kushangilia timu ambazo hazichukui ubingwa?

Messi muombee amalize mechi salama tu bila majeraha pia na kumuomba Mungu amtie moyo katika kipindi kigumu atachokuwa anapitia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha tusubiri tuone Scars....
Ni mapema sana kutukana Mamba....

Tutarudi kwenye hii Comment yangu au yako..
 
Siko upande wenu huo...
Hata 2018 nilikuwa Croatia....

Nawapenda sababu wana Vibe..

Ila WC hii.....Maombi yangu yapo na Messi....
Amen amen amen
Tulianza na Mungu tunatembea ma Mungu tutamaliza na Mungu. Wenye nia njema wote mseme amen
 
Team Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??

Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu

Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie

Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira

View attachment 2447431
Haha sasa mkuu kuna Mtu bingwa wa kuwagalagaza mabeki kama Messi
 
Mnamkuza tu

Nyie mashabiki wa Messi mnachonga sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa....

Mmemaliza kumfananisha Messi na Ronaldo then mkajipa Conclusion wenyewe....
Then mmeamia Messi na Mbappe....

Mtu mmoja huyo huyo? Dah!!!
 
Back
Top Bottom