Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa....

Mmemaliza kumfananisha Messi na Ronaldo then mkajipa Conclusion wenyewe....
Then mmeamia Messi na Mbappe....

Mtu mmoja huyo huyo? Dah!!!
Messi na Mbappe conclusion ikawaje?
 
Final tutapeana majibu....
Si mbali[emoji28]
Lakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutosha

Kinachomfanya Mbappe asiwe gumzo ni kukosa promo

Naamini wakisema wa switch yani alivyovifanya Messi kwenye hii michuano viende kwa Mbappe na alivyovifanya Mbappe viende kwa Messi, hakuna namna ambayo Mbappe angejadiliwa katika mtazamo wa ubora zaidi ya ngekewa
 
Jana ilikuwa ngumu Sana kwangu 😂😂
Ninawapongeza Sana Morocco kuwa taifa la kwanza kutoka Africa kufika hatua ya nusu fainali.
Wenu muarabu mweusi kutoka mpitimbi 😂😂😂😂
Saizi waarabu wote mtaani wanaitwa wamorocco. Nimesikia mmoja anasema "dah nimetoka kuangalia gari langu kwa mmorocco pale nakuta mfuniko wa rejeta haupo"
 
Lakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutosha

Kinachomfanya Mbappe asiwe gumzo ni kukosa promo

Naamini wakisema wa switch yani alivyovifanya Messi kwenye hii michuano viende kwa Mbappe na alivyovifanya Mbappe viende kwa Messi, hakuna namna ambayo Mbappe angejadiliwa katika mtazamo wa ubora zaidi ya ngekewa
Scars....

Mimi sina Maoni[emoji28]
Messi for Word Cup Winner....
 
Team Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??

Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu

Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie

Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira

View attachment 2447431
Team Messi wanokoo
 
Sasa yeye hakutaka kuukana utaifa wake, aliomba kuchezea Cameroon akakataliwa alipoomba kuchezea France ndio akakubaliwa, anyway nafikiri hata Yeye sasa hivi atakuwa anashukuru Cameroon walimkatalia
Hakuomba kuchezea France. Sema ubora wake ulimfanya kuitwa kwenye team ya Taifa ya Ufaransa. Kule Cameroun aliomba wakamwambia baba yake atoe hela.
 
Lakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutosha

Kinachomfanya Mbappe asiwe gumzo ni kukosa promo

Naamini wakisema wa switch yani alivyovifanya Messi kwenye hii michuano viende kwa Mbappe na alivyovifanya Mbappe viende kwa Messi, hakuna namna ambayo Mbappe angejadiliwa katika mtazamo wa ubora zaidi ya ngekewa
Mkuu tunasema kila siku hapa acheni kuangalia mpira lIVESCORE! Hatukatai Mbappe kafanya vizur hii World cup!.Ila unapokuja kuleta ulinganisho wake na MESSI tunakuona huna akili!, na hutazami mpira. Hivi interms of performance Mbappe kamzidi nini Messi? Unajua mpaka sasa Messi ana Man of the match(MOTM) 4 kati ya hizo 3 kapata kwenye Knock out stages? na mind you angekua nazo 5 mpaka sasa kwa sababu ile ya Poland aliamua mwenyewe kumpa Mac allister. Mpaka sasa Mbappe ana MOTM mbili(2) tu,alafu unakuja kumlinganisha na Messi.Ok niambie Mbappe kamzidi nini Messi mpaka sasa toka tournament imeanza! Assist? Magoli? au nini? Jana licha ya yeye kutoa assist lakini MOTM kapewa Griezmann, you know why? Performance ya mchezaji ni zaidi ya magoli na assists.Acheni kuangalia mpira LIVESCORE.
 
Back
Top Bottom