Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Lakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutosha

Kinachomfanya Mbappe asiwe gumzo ni kukosa promo

Naamini wakisema wa switch yani alivyovifanya Messi kwenye hii michuano viende kwa Mbappe na alivyovifanya Mbappe viende kwa Messi, hakuna namna ambayo Mbappe angejadiliwa katika mtazamo wa ubora zaidi ya ngekewa
Rinaldo Delima kashasema mchezaji bora of the tournaments ni Mbape
 
Hakuomba kuchezea France. Sema ubora wake ulimfanya kuitwa kwenye team ya Taifa ya Ufaransa. Kule Cameroun aliomba wakamwambia baba yake atoe hela.
Yeah hicho ndicho nilichomaanisha, kwamba cameroon walimkataa kwa kumpa masharti bila kuangalia ubora, wakati france walimchukua bure

Tena baba yake kiasi alichotajiwa atoe alisema hana, ndio wakakata tamaa, ikabidi dogo aingie france

Ni kama hawa wamorocco nao, wengi wametoa hela kuingia kwenye timu yao ya taifa, maana timu ilikuwa haiwataki kisa wengi wamezaliwa ulaya na kukulia huko

Na huu ndio ujinga wa timu nyingi za africa kukatalia raia wao kuchezea timu zao bila kuangalia ubora kisa tu walizaliwa na kukulia ulaya kwahiyo wanaonekana siyo wazalendo kabisa

Anyway sasa hivi nina uhakika mbappe atakuwa anashukuru na cameroon wanajuta
 
Sasa kama kafanya kwanin mnaleta ushamba wenu wakizamani akifanya kitu kidogo tu inakua kama ni kitu kipya kwake au mnazani tumesahau Ile mipenati aliyokua anakosa kweny Copa America had ikafika time akataka kustafu
Nyie mmeumia kwa Messi kuendelea kubaki kwenye michuano wakati 'icon' wenu ametoka, hivyo akisifiwa humu mnaona kama anakuzwa...

Kuhusu yeye kukosa penalty nyingi sio hoja, muhimu ni Sasa kwamba yeye ndiye mchezaji bora wa hii michuano mpaka sasa.

Kuna tuzo nyingine inakuja na kombe la dunia juu.
Johnny Sack verifaidi yuza Its Pancho
 
Attachments

  • 0ecb7a7f9af4b141448bb17e0bd3b07e.jpg
    0ecb7a7f9af4b141448bb17e0bd3b07e.jpg
    34.1 KB · Views: 5
Nyie mmeumia kwa Messi kuendelea kubaki kwenye michuano wakati 'icon' wenu ametoka, hivyo akisifiwa humu mnaona kama anakuzwa...

Kuhusu yeye kukosa penalty nyingi sio hoja, muhimu ni Sasa kwamba yeye ndiye mchezaji bora wa hii michuano mpaka sasa.

Kuna tuzo nyingine inakuja na kombe la dunia juu.
Johnny Sack verifaidi yuza Its Pancho
Unaota wew. Tuzo ipi na kombe lipi
 
Nyie mmeumia kwa Messi kuendelea kubaki kwenye michuano wakati 'icon' wenu ametoka, hivyo akisifiwa humu mnaona kama anakuzwa...

Kuhusu yeye kukosa penalty nyingi sio hoja, muhimu ni Sasa kwamba yeye ndiye mchezaji bora wa hii michuano mpaka sasa.

Kuna tuzo nyingine inakuja na kombe la dunia juu.
Johnny Sack verifaidi yuza Its Pancho
Tushindwe kuumia kipindi hicho anafunga Goli Tano kweny mechi moja tuje Tumie kweny kipind ambacho ili afunge Goli lazima iwe penati
 
Mkuu tunasema kila siku hapa acheni kuangalia mpira lIVESCORE! Hatukatai Mbappe kafanya vizur hii World cup!.Ila unapokuja kuleta ulinganisho wake na MESSI tunakuona huna akili!, na hutazami mpira. Hivi interms of performance Mbappe kamzidi nini Messi? Unajua mpaka sasa Messi ana Man of the match(MOTM) 4 kati ya hizo 3 kapata kwenye Knock out stages? na mind you angekua nazo 5 mpaka sasa kwa sababu ile ya Poland aliamua mwenyewe kumpa Mac allister. Mpaka sasa Mbappe ana MOTM mbili(2) tu,alafu unakuja kumlinganisha na Messi.Ok niambie Mbappe kamzidi nini Messi mpaka sasa toka tournament imeanza! Assist? Magoli? au nini? Jana licha ya yeye kutoa assist lakini MOTM kapewa Griezmann, you know why? Performance ya mchezaji ni zaidi ya magoli na assists.Acheni kuangalia mpira LIVESCORE.
Mkuu hata ukisema sisi wengine tunaangalia kupitia livescore sio dhambi, ishu ni kutumia livescore kama hoja ya kufifisha hoja ya mtu mwingine kwa kuweka taarifa zisizo za kweli.

Naamini swala la kumtaja Mbappe kuwa ana MOTM 2 ni mistake tu ambayo inaweza kusababishwa na vitu vingi eidha ni kwasababu humfatilii sana au la. Siamini kwenye kukosea huko nikuhusishe na habari za livescore au namna gani kwasababu najua sio mara zote unaweza ukawa na kumbukumbu sawa

Kukusahihisha tu ni kwamba Mbappe ana MOTM 3 ambazo alichukua kwenye mechi hizi

France vs Australia
France vs Denmark
Round of 16: France vs Poland
 
Sisi hatushangai vitu anavyo fanya Messi kwa sababu hajaanza leo!,na hatupingi uwezo wa Mbappe.Concern hapa ni kuleta kumlinganisha Messi na Mbappe kwenye hii tournament ,wakati in terms of performance kwenye hii tournament Mbappe hakuna alichomzidi Messi.Sote tunaangalia mpira toka WC imeanza MOTM wa france team ni Giroud ana MOTM 2 ,Mbappe 2 Grieazmann 1.Wakati Argentina Messi anazo 4.Ulinganisho wa Messi na Mbappe unatoka wapi?
MOTM Mbappe anazo 3 mzee
 
As usual
Sisi ni kusokomeza moto tu mwanzo mwisho.
Dunia imetutuma kubeba kombe

Ufaransa ikishinda dunia nzima na watu wa kabila zote wanafurahi[emoji91]

Viva France [emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tukishinda nitakuomba urafiki sawa eee..😂😂
 
Kumbe kamanda wangu bado tu unamchukia huyu kiumbe kuwahi kutokea? Hahaa

Argentina is my favourite team.. Messi and Diego ndio wachezaji wangu bora kuwahi kutokea.. ubaguzi kila mahala kamanda, hata timu lako unaloshabikia si ajabu wengi wao mabaguzi, linchi lako pia limejawa na mabaguzi

God bless Argentina 🇦🇷
Mimi namkubali sana Messi..ila siyo timu ya Ajentina..kama messi angekuwa spain au Germany basi ningekuwa die hard fan..Ila sasa yuko kwenye taifa la kiboya ubaguzi na matakataka mengine
 
Nyie mmeumia kwa Messi kuendelea kubaki kwenye michuano wakati 'icon' wenu ametoka, hivyo akisifiwa humu mnaona kama anakuzwa...

Kuhusu yeye kukosa penalty nyingi sio hoja, muhimu ni Sasa kwamba yeye ndiye mchezaji bora wa hii michuano mpaka sasa.

Kuna tuzo nyingine inakuja na kombe la dunia juu.
Johnny Sack verifaidi yuza Its Pancho
Mimi naomba Messi asipate ballondor nyingine zisiwe 8 Asije akaanza kuitwa LM8. ..zibaki hizo hizo saba.

Abaki kuwa LM7
Huku kuna CR7

Mmoja ni namba ya jezi mwingine ni idadi ya ballom dor
 
Mimi namkubali sana Messi..ila siyo timu ya Ajentina..kama messi angekuwa spain au Germany basi ningekuwa die hard fan..Ila sasa yuko kwenye taifa la kiboya ubaguzi na matakataka mengine
Duh, kweli chuki ni chuki tu haihitaji sababu.

Unasema hutaki wabaguzi ila unapenda Spain inaobaguaga wachezaji weusi mpaka kina Etoo na Ronaldinho walikimbia.
Ujerumani really? Baba wa ubaguzi duniani..
Yani anabagua mpaka wazungu wenzie (Nazism)
 
Back
Top Bottom