SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 968
- 1,022
Tukubali tukatae huu ni wakati wakeNa W/c.. hao waafrika wa ufaransa mchanyiko na wazungu wao tutawabonda sio chini ya goli 3..
Huyu bwana alizaliwa na kipaji kama sio ngekewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukubali tukatae huu ni wakati wakeNa W/c.. hao waafrika wa ufaransa mchanyiko na wazungu wao tutawabonda sio chini ya goli 3..
Sawa ngoja tuone itakavyokuwa mkuu.Tushabikie Argentina kamanda, chama kubwa
Na mind you Mechi ya poland Messi alikuwa Man of the match pia akaamua kumpa Mac allister so zingekua 5 mpaka sasa.Messi kamzidi moja Mbappe na hiyo moja inaweza kutokana na Mbappe kuanzia bench kwenye ile mechi ya tunisia
Dada binti wa kikeBado natafakari kuhusu jinsia yako.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha uongo we hautumii pombe itanishangaza kama huiogopi hata grand malt kisa ni nyeusi kama Guiness
Achukue tu hatuna shida nayeKuna dalili kama 65% mpaka saivi za Messi atachukua kiatu cha uchezaji bora na mpira wa dhahabu View attachment 2447751
Mbona kama Mbappe ana shobo sana! Hizi furaha za kishamba namna hii anazitoa wapi? Hakutegemea kufika huku?Watu wanabishana wenyewe wanafurahiView attachment 2447761View attachment 2447762
Hiyo ya kumtunukia mwingine tumeiona hadi kwa MorroccoNa mind you Mechi ya poland Messi alikuwa Man of the match pia akaamua kumpa Mac allister so zingekua 5 mpaka sasa.
Ni pisi flani ina hips nzito sana.. Mkali sana basi tu choice zake wc zinamuangushaBado natafakari kuhusu jinsia yako.😂
Usinywe na Scars ana mambo ya kimjini mjini sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukishinda ntanunua pakiti ya Grand Malt
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Lazima nisherehekee na mwambaUsinywe na Scars ana mambo ya kimjini mjini sana
Shauri yako usije sema wapendwa wako jf hatukukwambiaLazima nisherehekee na mwamba
Tumeupiga mwingi sana kushabikia Ufaransa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Walimwambia atoe pesa ili aitwe akaamua kuachana na huo ujingaHee!
Alitaka acheze Cameroon wakakataaa??
Poor them,
Safi sana.
Historian ipi wakati Ronadinho alikuwa anakaa benchi ili Messi acheze Ronaldo kaweka wazi haombei Messi achukue kombe kwa sababu atamfikia kwa historiaFuatilia historia ya Brazil na Argentina katika soka, wala hautashangazwa na maoni ya De Lima
Hamna mchezaji wa level za Ronaldo anaweza kuchukia mafanikio ya mwenzie kisa atamzidi rekodi. Leta chanzo cha habari kilicho mripoti anaongea hivo. Hizo mentality wanazo kina Mrisho Ngasa na kina Shabalala wa SimbaHistorian ipi wakati Ronadinho alikuwa anakaa benchi ili Messi acheze Ronaldo kaweka wazi haombei Messi achukue kombe kwa sababu atamfikia kwa historia
Uzuri nao wewe pia utakuwepo kushangilia ushindi wetu upende usipendeShauri yako usije sema wapendwa wako jf hatukukwambia
Wapumbavu.Walimwambia atoe pesa ili aitwe akaamua kuachana na huo ujinga