Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dogo Kylian, kiboko ya Virikou[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nyie vishoti,mnamuona Mbappe lakini??View attachment 2447602

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Afu hii picha mnaikuuuza...wakati hapo alikuwa ndani ya box anapiga kufunga, ndio maana Hakimi hapo ameslaidi ili ablock mpira.

Mchezaji yeyote (Hata lukaku) akiwa ndani ya box tena kama hana msaada wa mtu wa kumpa pasi ya haraka lazima azongwe hivyo.

Messi anakabwa hivyo katikati ya uwanja.
 
Mkuu hata ukisema sisi wengine tunaangalia kupitia livescore sio dhambi, ishu ni kutumia livescore kama hoja ya kufifisha hoja ya mtu mwingine kwa kuweka taarifa zisizo za kweli.

Naamini swala la kumtaja Mbappe kuwa ana MOTM 2 ni mistake tu ambayo inaweza kusababishwa na vitu vingi eidha ni kwasababu humfatilii sana au la. Siamini kwenye kukosea huko nikuhusishe na habari za livescore au namna gani kwasababu najua sio mara zote unaweza ukawa na kumbukumbu sawa

Kukusahihisha tu ni kwamba Mbappe ana MOTM 3 ambazo alichukua kwenye mechi hizi

France vs Australia
France vs Denmark
Round of 16: France vs Poland
Sawa MOTM anazo 3 Comparison na Messi inatoka wapi mkuu? Kamzidi nini Messi?
 
Team Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??

Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu

Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie

Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira

View attachment 2447431
Uzuri ni kwamba sisi hatuna chuki wala makasiriko. Dogo ni mchezaji mzuri na akiendelea hivyo ataheshimika kama Thierry Henry au Zinedine Zidane.
 
FB_IMG_1671117427012.jpg
 
Back
Top Bottom