February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Afu hii picha mnaikuuuza...wakati hapo alikuwa ndani ya box anapiga kufunga, ndio maana Hakimi hapo ameslaidi ili ablock mpira.Dogo Kylian, kiboko ya Virikou[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nyie vishoti,mnamuona Mbappe lakini??View attachment 2447602
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mchezaji yeyote (Hata lukaku) akiwa ndani ya box tena kama hana msaada wa mtu wa kumpa pasi ya haraka lazima azongwe hivyo.
Messi anakabwa hivyo katikati ya uwanja.