Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Oh aise ngoja nitaenda huko chitchat.... tuonjeshe na kaselfie kamoja hapa.[emoji39]
Uzi wa selfie upo,kuna mapicha kama yote
Usinitoe kwenye reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Hizi lugha mmenifundisha wenyewe majukwaani huko kwenye threads za mipira na chalii yangu OllaChuga Oc

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule Liverpool ni kizungu tu



Hee,[emoji1787] Oyaa hebu muache Chalii yangu bhana

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Liverpool mnakuwa na komenti ndefu sana lakini huwa sioni mkichambua mpira, mnachambua zaidi timu, fsg, klopp na majeruhi.

Huyo ollachuga sidhani kama ni mtanzania kwa asili maana kiswahili chake kipo hovyo sana.

Nimekuona kule chitchat, aise kumbe nakufahamu kabisa kiuhalisia.😂😂
 
ninja turtle
b001902314ba531d250a540bc6a9a77f.jpg
 
Wapumbavu wa mpira mpo wengi sana Team zenu zimetolewa kwa ubovu msijifichw kwenye kichaka cha Messi sijui kubebwa sijui kuandaliwa! Brazil kacheza na Croatia,wameenda penalty wametolewa je ni Messi alikuwa anaandaliwa? Team bora kam Belgium na Spain zimeshindwa kutoboa kwa Morocco je ni Messi alikuwa anaandaliwa? portugal kashindwa kutoboa kwa Morocco je ni Messi alikuwa anaandaliwa?.Tafuteni hoja za msingi mpira ni mchezo wa hadharani ,hauchezwi chumbani!.

Mwanampira hawezi kusema messi anaandaliwa, wanamponda messi hadharani lakini ukweli unabaki kwenye mioyo yao ya kwamba (MESSI NI MMOJA TU)
 
Back
Top Bottom