Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Rinaldo Delima kashasema mchezaji bora of the tournaments ni MbapeLakini mpaka saizi mchezaji wenu kapigwa upper cut zakutosha
Kinachomfanya Mbappe asiwe gumzo ni kukosa promo
Naamini wakisema wa switch yani alivyovifanya Messi kwenye hii michuano viende kwa Mbappe na alivyovifanya Mbappe viende kwa Messi, hakuna namna ambayo Mbappe angejadiliwa katika mtazamo wa ubora zaidi ya ngekewa