Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Love you zaidi mdogo wangu mzuri mzuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Love you zaidi mdogo wangu mzuri mzuri...
AMENDj walete team Argentina wakapokee kombe lao
Kwahiyo Etoo kushindwa ndo guarantee ya Mbappe kushindwa?Mbappe hajafikia uwezo wa Etoo kwenye club football ila Etoo alikuwa akifika national team anazidiwa na kina Aboutrika. Afrika kusini mwa jangwa la sahara tuna shida tukishakusanyika kutengeneza timu
Hamna sidhani..Kuna sehemu angeifikisha timu
Jamaa ni game changer
Juhudi zake binafsi Kuna sehemu zinaivusha timu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huwa una gundu maana kila unaemsapoti anakosaaUshindi wa ufaransa huwa hauna shamla shamla nyingi kwakua ni kitu cha kawaida
Jumapili tunaenda kuchukua kombe letu kwa utaratibu ule ule wa bila kupiga makelele
Nimemtolea mfano Etoo ila ni wengi tu. Angalia performance ya Africans wanapokuwa kwenye vilabu vya ulaya halafu waangalie hao hao wakiwa national team utaona tatizo. Kuna kina Drogba, Kanoute, Kanu, Yaya Toure nk. Kusini mwa jangwa la sahara tuna shidaKwahiyo Etoo kushindwa ndo guarantee ya Mbappe kushindwa?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
No kiclub angecheza ulaya vile vile ila kinchi angechezea cameroon mkuu nadhani angekuwa na ubora ule ule tu mbona walikuwepo kina Etoo na Drogba waliochezea timu zao na bado walikuwa vizuriMwafrika anae cheza ulaya ni tofauti na anae cheza Afrika so bado hata huku kwa national team angeflop
Hao wengine tu ndio nimekuwa na bahati mbaya nao ila sio kwa FranceHuwa una gundu maana kila unaemsapoti anakosaa
😃😃😃😃😃
Subiri utaonaHao wengine tu ndio nimekuwa na bahati mbaya nao ila sio kwa France
Labda itokee tu kama maajabu ya mpira
Zile Shamra Shamra za 2018 zilikuwa ndogo Scars?Ushindi wa ufaransa huwa hauna shamla shamla nyingi kwakua ni kitu cha kawaida
Jumapili tunaenda kuchukua kombe letu kwa utaratibu ule ule wa bila kupiga makelele
Uliangalia lile vibe la France 2018 kuanzia wanavyobeba kombe uwanjani, hadi kule changing room walivyokuwa na president wao mpaka wanavyoingia kwenye ndege kurudi kwao, asee sidhani kama kuna nchi itakuja shangilia WC kama walivoshangilia France that yearUshindi wa ufaransa huwa hauna shamla shamla nyingi kwakua ni kitu cha kawaida
Jumapili tunaenda kuchukua kombe letu kwa utaratibu ule ule wa bila kupiga makelele
Sasa angechezea Cameroon angefika hata 16 bora, kuna wakati inabidi mtu uukane utaifa wako ili upate kinachostahili. Huyu dogo ana nafasi ya kuwa mfungaji bora, anaweza kuchukua kombe la dunia kitu ambacho angekuwa huko Cameroon ingekuwa ndoto tuNo kiclub angecheza ulaya vile vile ila kinchi angechezea cameroon mkuu nadhani angekuwa na ubora ule ule tu mbona walikuwepo kina Etoo na Drogba waliochezea timu zao na bado walikuwa vizuri
Nilichomaanisha ni kwamba mwafrika akiwa timu ya taifa ya ulaya ana perform better ukimlinganisha na mwafrika anaecheza timu ya taifa ya Afrika japo unaweza kukuta kwa level ya club wako wote na muda mwingine huyu wa taifa la Afrika ana mzidi performance huyu wa taifa la ulayaNo kiclub angecheza ulaya vile vile ila kinchi angechezea cameroon mkuu nadhani angekuwa na ubora ule ule tu mbona walikuwepo kina Etoo na Drogba waliochezea timu zao na bado walikuwa vizuri
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Uliangalia lile vibe la France 2018 kuanzia wanavyobeba kombe uwanjani, hadi kule changing room walivyokuwa na president wao mpaka wanavyoingia kwenye ndege kurudi kwao, asee sidhani kama kuna nchi itakuja shangilia WC kama walivoshangilia France that year
Yeah kwa kweli 2018 hata mimi nilikuwa upande wa France tangia mwanzo, na nilikuwa nafuatilia clips zao zote zilizosambaa wakiwa wanashangilia kombe basi hadi raha, ila mwaka huu wakishinda tena naona kama itaboaZile Shamra Shamra za 2018 zilikuwa ndogo Scars?
BTW mimi napenda tu ule wimbo wao..na ule wimbo wa N'golo Kantè.
Kuchukua kombe WC hii itakuwa ngumu..
Ukipenda wimbo unatakiwa upende na France akichukua kombeZile Shamra Shamra za 2018 zilikuwa ndogo Scars?
BTW mimi napenda tu ule wimbo wao..na ule wimbo wa N'golo Kantè.
Kuchukua kombe WC hii itakuwa ngumu..
Sasa hizi Messi si ameshazifanya mara kibao tu...TumemzoeaTeam Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??
Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu
Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie
Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira
View attachment 2447431
Depal akiongelea inatoshaTeam Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??
Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu
Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie
Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira
View attachment 2447431