Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ushindi wa ufaransa huwa hauna shamla shamla nyingi kwakua ni kitu cha kawaida

Jumapili tunaenda kuchukua kombe letu kwa utaratibu ule ule wa bila kupiga makelele
 
Huwa una gundu maana kila unaemsapoti anakosaa
😃😃😃😃😃
 
Kwahiyo Etoo kushindwa ndo guarantee ya Mbappe kushindwa?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimemtolea mfano Etoo ila ni wengi tu. Angalia performance ya Africans wanapokuwa kwenye vilabu vya ulaya halafu waangalie hao hao wakiwa national team utaona tatizo. Kuna kina Drogba, Kanoute, Kanu, Yaya Toure nk. Kusini mwa jangwa la sahara tuna shida
 
Mwafrika anae cheza ulaya ni tofauti na anae cheza Afrika so bado hata huku kwa national team angeflop
No kiclub angecheza ulaya vile vile ila kinchi angechezea cameroon mkuu nadhani angekuwa na ubora ule ule tu mbona walikuwepo kina Etoo na Drogba waliochezea timu zao na bado walikuwa vizuri
 
Ushindi wa ufaransa huwa hauna shamla shamla nyingi kwakua ni kitu cha kawaida

Jumapili tunaenda kuchukua kombe letu kwa utaratibu ule ule wa bila kupiga makelele
Zile Shamra Shamra za 2018 zilikuwa ndogo Scars?

BTW mimi napenda tu ule wimbo wao..na ule wimbo wa N'golo Kantè.

Kuchukua kombe WC hii itakuwa ngumu..
 
Uliangalia lile vibe la France 2018 kuanzia wanavyobeba kombe uwanjani, hadi kule changing room walivyokuwa na president wao mpaka wanavyoingia kwenye ndege kurudi kwao, asee sidhani kama kuna nchi itakuja shangilia WC kama walivoshangilia France that year
 
No kiclub angecheza ulaya vile vile ila kinchi angechezea cameroon mkuu nadhani angekuwa na ubora ule ule tu mbona walikuwepo kina Etoo na Drogba waliochezea timu zao na bado walikuwa vizuri
Sasa angechezea Cameroon angefika hata 16 bora, kuna wakati inabidi mtu uukane utaifa wako ili upate kinachostahili. Huyu dogo ana nafasi ya kuwa mfungaji bora, anaweza kuchukua kombe la dunia kitu ambacho angekuwa huko Cameroon ingekuwa ndoto tu
 
No kiclub angecheza ulaya vile vile ila kinchi angechezea cameroon mkuu nadhani angekuwa na ubora ule ule tu mbona walikuwepo kina Etoo na Drogba waliochezea timu zao na bado walikuwa vizuri
Nilichomaanisha ni kwamba mwafrika akiwa timu ya taifa ya ulaya ana perform better ukimlinganisha na mwafrika anaecheza timu ya taifa ya Afrika japo unaweza kukuta kwa level ya club wako wote na muda mwingine huyu wa taifa la Afrika ana mzidi performance huyu wa taifa la ulaya
 
Uliangalia lile vibe la France 2018 kuanzia wanavyobeba kombe uwanjani, hadi kule changing room walivyokuwa na president wao mpaka wanavyoingia kwenye ndege kurudi kwao, asee sidhani kama kuna nchi itakuja shangilia WC kama walivoshangilia France that year
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
France wanashangilia Bwana...Waaaah!!
 
Team Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??

Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu

Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie

Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira

FB_IMG_1671052484124.jpg
 
Zile Shamra Shamra za 2018 zilikuwa ndogo Scars?

BTW mimi napenda tu ule wimbo wao..na ule wimbo wa N'golo Kantè.

Kuchukua kombe WC hii itakuwa ngumu..
Yeah kwa kweli 2018 hata mimi nilikuwa upande wa France tangia mwanzo, na nilikuwa nafuatilia clips zao zote zilizosambaa wakiwa wanashangilia kombe basi hadi raha, ila mwaka huu wakishinda tena naona kama itaboa
 
Zile Shamra Shamra za 2018 zilikuwa ndogo Scars?

BTW mimi napenda tu ule wimbo wao..na ule wimbo wa N'golo Kantè.

Kuchukua kombe WC hii itakuwa ngumu..
Ukipenda wimbo unatakiwa upende na France akichukua kombe

Wimbo na kombe ni vitu vinavyoenda sambamba

Ukisema unapenda wimbo halafu hupendi kuona France anabeba ndoo ni sawa na kusema dagaa huli ila unapenda tu mchuzi wake.

Karibu hiyo jumapili ushuhudie France tukichukua ndoo yetu back to back
 
Team Messi inamaana hii ndio mmeshindwa kuizungumzia hata kwa unafki tu??

Siku inataka kuisha bila hii kitu kusikia maoni kutoka kwenu

Toeni neno bana hata kama ni la kubeza toeni tuwasikie

Hamuwezi mkakaa kimya kama hakijatokea chochote wakati tunajua wote mliangalia mpira

View attachment 2447431
Sasa hizi Messi si ameshazifanya mara kibao tu...Tumemzoea

Amewaachia Wavulana[emoji28]
 
Back
Top Bottom