Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kunuweka benz kwa finals na ajacheza mechi zingine na alikuwa anakula bata mh msitake watu walalamike akiwa under performance
 
Brazil tayari alishachukua back to back wakiwa na Pele labda kwa karne hii France watakuwa wa kwanza
Halafu usipende kubadili nguo kila mara binti, hadi nakupoteza! Sikuwa najua kumbe hawa samba boys walishafanya yao zamani!
 
Hee!
Alitaka acheze Cameroon wakakataaa??

Poor them,
Safi sana.
Mbappe hajafikia uwezo wa Etoo kwenye club football ila Etoo alikuwa akifika national team anazidiwa na kina Aboutrika. Afrika kusini mwa jangwa la sahara tuna shida tukishakusanyika kutengeneza timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…