🤣🤣🤣🤣🤙Picha ya tarehe 18 ikimuonesha the Penalty GOAT akitoka patupu
Mimi naona baadhi ya michuano ipunguzwe WC iwe kila mwaka
Jamaa alikaza sana mechi dhidi ya Morocco me naona akianza huyu fainal itakuwa poa sana, maana Dayout anamistakes ndogondogo, rejea mechi dhidi ya EnglandPale nyuma huyu ndie aliwabeba France
Mi nakuomba source ya ulichotuwekea hapa unaniambia nikasome father of all fallacy! Humo ntaikuta habari ya Ronaldo kutotaka Messi abebe kombe la dunia?Sio kuchukia ni competition...
Kasome kitu kinaitwa father of fallacy all fallacy
Hapo umeelewa nnMi nakuomba source ya ulichotuwekea hapa unaniambia nikasome father of all fallacy! Humo ntaikuta habari ya Ronaldo kutotaka Messi abebe kombe la dunia?View attachment 2449101
BOTH of France's starting centre backs are struck down by the virus spreading through their squad, two days before the World Cup final, with Raphael Varane and Ibrahima Konate now sick and AIR CONDITIONING in Qatar being blamedKwangu mimi huyu ni bonge ya Defender
Konate
Hapana hii habari imekanushwa mda sana hata kuna mda fulani niliona Microsoft news wamesema kuwa hatajumuishwa kwenye kikosi cha finalMshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema anaenda Quatar kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya Argentina.
Benzema alipata majeraha wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ila mpaka sasa yuko fit kwa ajili ya kucheza fainali.
View attachment 2449109
Kumbeee so ataenda tu kuwatch sio?Hapana hii habari imekanushwa mda sana hata kuna mda fulani niliona Microsoft news wamesema kuwa hatajumuishwa kwenye kikosi cha final
Kwa hiyo mkuu unamanisha?Timu zote zilizotwaa ubingwa wa kombe la dunia zilikuwa na makocha wazawa.
Wawepo wote tuwagongeshe wasije kupata visingizioMshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema anaenda Quatar kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya Argentina.
Benzema alipata majeraha wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ila mpaka sasa yuko fit kwa ajili ya kucheza fainali.
View attachment 2449109
InawezekanaKumbeee so ataenda tu kuwatch sio?