Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Picha ya tarehe 18 ikimuonesha the Penalty GOAT akitoka patupu
318725668_810917776669203_8571897897848885479_n.jpg
🤣🤣🤣🤣🤙
 
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema anaenda Quatar kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya Argentina.

Benzema alipata majeraha wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ila mpaka sasa yuko fit kwa ajili ya kucheza fainali.

FB_IMG_1671206567591.jpg
 
Kwangu mimi huyu ni bonge ya Defender

Konate

320256706_1612561712550081_2588276225781140608_n.jpg
BOTH of France's starting centre backs are struck down by the virus spreading through their squad, two days before the World Cup final, with Raphael Varane and Ibrahima Konate now sick and AIR CONDITIONING in Qatar being blamed

Takbir
 
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema anaenda Quatar kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya Argentina.

Benzema alipata majeraha wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ila mpaka sasa yuko fit kwa ajili ya kucheza fainali.

View attachment 2449109
Hapana hii habari imekanushwa mda sana hata kuna mda fulani niliona Microsoft news wamesema kuwa hatajumuishwa kwenye kikosi cha final
 
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema anaenda Quatar kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya Argentina.

Benzema alipata majeraha wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ila mpaka sasa yuko fit kwa ajili ya kucheza fainali.

View attachment 2449109
Wawepo wote tuwagongeshe wasije kupata visingizio
 
Kumbeee so ataenda tu kuwatch sio?
Inawezekana

Niliskia mahojiano ya kocha wa ufaransa alipoulizwa kuhusu Benzema kucheza fainali akalipotezea swali akisema "next question"

Lakini wakaja kumuuliza tena akasema Benzema hayupo katika mipango yake na Benzema aliposikia kauli ya Didier alimaindi
 
Back
Top Bottom