Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hao wamenaswa kwa totoz za kirabu wenye kufanana na wale wahudumu wa Qatar airways 😜😜😜😜
 
Maandalizi ya kupokea kombeee
Your browser is not able to display this video.
 
Di Maria is the player who can insult you on the pitch in the language of football. That's how much excessively skilled player he is.

 
Huyu drogba sjui anajikuta nani,kwahyo kisa KB9 hakumu acknowledge usiku wa ballon dior ndo kumtoa mwenzie asicheze mxiew
 
Croatia na Morocco wanajivunia safu kali za viungo kwenye michuano hii na ni vigumu kuhukumu ni nani atatumia ubabe wao wakati huu.
Kwa kawaida pande zote mbili huweka watu watatu - Marcelo Brozovic, Luka Modric na Mateo Kovacic watapambana dhidi ya Sofyan Amrabat, Azzedine Ounahi na Selim Amallah.
 
Croatia wanathibitisha kivipi Argentina alibahatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…