Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Hao wamenaswa kwa totoz za kirabu wenye kufanana na wale wahudumu wa Qatar airways 😜😜😜😜[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]
DahhhhhhhView attachment 2449799