Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Chuki zako zitaipunguzia nini timu iliyofika nusu fainali na mkwanja mrefu wamekunja kibindoni.
Mataifa makubwa kibao yameangushwa na hawa Waarabu hadi kufikia watu wanalia kama watoto unadhani mchezo.
Timu ya kwanza Africa kuandika historia ya kutinga nusu fainali kombe la dunia imeandikwa na Morocco.
Walijikuta sana...Wasingekua na kauli za kibaguzi sasa hivi Morocco walikua wanajiandaa kucheza fainal kesho
Nyie msiokua na kauli za kibaguzi mbona hata kushiriki tu AFCON hua ni mtihani? Kushiriki World cup ndio hamuwezi kabisaaa,punguza makasiriko,Wasingekua na kauli za kibaguzi sasa hivi Morocco walikua wanajiandaa kucheza fainal kesho
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Waliokuwa washindi wapili mwaka 2018 leo wamekuwa washindi wa tatu.
Waliokuwa mabingwa mwaka 2018 watakuwa washindi wa pili kesho.
Wewe kichwa panzi unateseka sana,Binti mdogo ila makasiriko kama yote.Inshallah morocco ameuheshimisha africa [emoji16]
Sio suala la bahati, Morocco ni wazuri katika defence ila ni wabovu mno katika ushambuliaji.Morrocco leo haina Bahati
Kivipi yaani!
Kwamba Africa nzima tungeingia uwanjani kuwasaidia?
Hata kama wangemshukuru kila mwafrika mmoja mmoja na kutoa zawadi ya pesa taslimu bado wangetolewa tu kama wangekuwa wakutolewa.
Kesho mtakuwa na kibarua kigumu kumdhibiti Messi na wale viungo wa Argentina.Croatia wamekosa bao hapa
Usicheze na mizimu ya kiafrika huoni walianza vema walivyotoa tu zile kauli vipigo vikaanzaKivipi yaani!
Kwamba Africa nzima tungeingia uwanjani kuwasaidia?
Hata kama wangemshukuru kila mwafrika mmoja mmoja na kutoa zawadi ya pesa taslimu bado wangetolewa tu kama wangekuwa wakutolewa.
Bara la AfricaWamembagua nani ?
Kunywa maziwa ushushe hasira,Nyie msiokua na kauli za kibaguzi mbona hata kushiriki tu AFCON hua ni mtihani? Kushiriki World cup ndio hamuwezi kabisaaa,punguza makasiriko,
Kwahiyo Brazil nao walitolewa kwa kauli za kibaguzi? Team zote zilikua zina kauli za kibaguzi isipokua France na Argentina pekee?
Sio kweli mmekuza sana mambo... Morocco ipo Africa hawawezi kuibagua Africa.Bara la Africa
Mnoooo,Walijikuta sana...
Mbappe ameishapruvu kwamba yeye ni bora zaidi ya MessiStory ipi itabamba sana baada ya fainalView attachment 2449709
Nilijua tu usingeweza kujibu hata swali moja hapo.Kunywa maziwa ushushe hasira,
No Ubaguzi kwenye ardhi ya Afrika