Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Endeleeni kuwaombea dua mbaya wenzenu wameshaweka history kufika nusu fainal kombe la dunia
Hao mliokuwa mnawaombea wafike hata robo fainal wamefika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Morocco ubarikiwe kila mtu apambanie taifa lake
NIPO KINONDONI MOROCCO HAPA
 
Inshallah morocco ameuheshimisha africa [emoji16]
Chuki zako zitaipunguzia nini timu iliyofika nusu fainali na mkwanja mrefu wamekunja kibindoni.

Mataifa makubwa kibao yameangushwa na hawa Waarabu hadi kufikia watu wanalia kama watoto unadhani mchezo.

Timu ya kwanza Africa kuandika historia ya kutinga nusu fainali kombe la dunia imeandikwa na Morocco.
 
Wasingekua na kauli za kibaguzi sasa hivi Morocco walikua wanajiandaa kucheza fainal kesho
Nyie msiokua na kauli za kibaguzi mbona hata kushiriki tu AFCON hua ni mtihani? Kushiriki World cup ndio hamuwezi kabisaaa,punguza makasiriko,

Kwahiyo Brazil nao walitolewa kwa kauli za kibaguzi? Team zote zilikua zina kauli za kibaguzi isipokua France na Argentina pekee?
 
Ogopa sana kukataliwa

Mchezaji wa morocco alihojiwa baada ya kutandikwa kwenye nusu fainali akasema tumetolewa kwasababu africa imetukataa na inatuombea dua mbaya
Kivipi yaani!

Kwamba Africa nzima tungeingia uwanjani kuwasaidia?

Hata kama wangemshukuru kila mwafrika mmoja mmoja na kutoa zawadi ya pesa taslimu bado wangetolewa tu kama wangekuwa wakutolewa.
 
Kivipi yaani!

Kwamba Africa nzima tungeingia uwanjani kuwasaidia?

Hata kama wangemshukuru kila mwafrika mmoja mmoja na kutoa zawadi ya pesa taslimu bado wangetolewa tu kama wangekuwa wakutolewa.
Usicheze na mizimu ya kiafrika huoni walianza vema walivyotoa tu zile kauli vipigo vikaanza
 
Kesho Ndio nataka nishuhudie maajabu ya Messi. Ikitokea kabeba ndoo ndio basi tena. Achilia mbali viatu hakuna atakae weza vaa hata soksi zake labda dunia iumbwe upya

Team Ronaldo kesho tunaingia kumkaba
 
Nyie msiokua na kauli za kibaguzi mbona hata kushiriki tu AFCON hua ni mtihani? Kushiriki World cup ndio hamuwezi kabisaaa,punguza makasiriko,

Kwahiyo Brazil nao walitolewa kwa kauli za kibaguzi? Team zote zilikua zina kauli za kibaguzi isipokua France na Argentina pekee?
Kunywa maziwa ushushe hasira,

No Ubaguzi kwenye ardhi ya Afrika
 
Back
Top Bottom