Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unafeli Captain.Baada ya Allison kufugishwa virago mwenzio nikahamia upande wa pili kwa AMF guru nambari 10...sasa wewe tulia huko huko mji wa marashi π€π€
Kesho tuna jambo letu.
YNWA
Na wewe ukaamini kwamba dua mbaya ndo imewafanya watolewe?Ogopa sana kukataliwa
Mchezaji wa morocco alihojiwa baada ya kutandikwa kwenye nusu fainali akasema tumetolewa kwasababu africa imetukataa na inatuombea dua mbaya
Ila siyo siri, Allison alitulaza na viatuBaada ya Allison kufugishwa virago mwenzio nikahamia upande wa pili kwa AMF guru nambari 10...sasa wewe tulia huko huko mji wa marashi π€π€
Kesho tuna jambo letu.
YNWA
Wenzio washaliwa kichwa huko, kubali matokeo na ujipange kwa miaka mingineAfrica maendeleo yanachelewa kwakuwa na idadi kubwa ya watu dizaini yako.
Kuamini mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia.
Amka mkuu dunia ya leo unaamini mizimu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe ukaamini kwamba dua mbaya ndo imewafanya watolewe?
Kwa mawazo haya maendeleo Africa ni ndoto isiyotimia kamwe.
Sisi ni kuchanja mbuga tuKesho mtakuwa na kibarua kigumu kumdhibiti Messi na wale viungo wa Argentina.
Mtawakumbuka Pogba na Kante maana hawa walikuwa na mchango mkubwa sana mlipowafunga Argentina 4-3 kule Urusi.
Tate Mkuu Victoire Greatest Of All Time ras jeff kapita Saint Anne
Wala sina shida kwenye hilo mkuu.Wenzio washaliwa kichwa huko, kubali matokeo na ujipange kwa miaka mingine
Sisi wananchi wa Morocco hotel tunachojua tumeingia kwenye Top4 na mwakani tunacheza Uefa.Tukubaliane hakuna forth part. Yaani ni First , Second, Third na washiriki wengine tu. So hapa muarabu ni sawa na muarabu mwenzake wa qatar nothing special.
At least he's not a penalty GOAT just like dwarfDear lukamo you are the GOAT,we love u[emoji307]
Endelea kuamini mizimu na dua mbaya kama kikwazo cha maendeleo kumbe ni imani potofu ndizo zinazokuchelewesha.Ndio ile imetolewa kwasababu ya dua mbaya ya africa
Mashindano hua kuna Mshindi wa 1, 2 na 3..... baada ya hapo ni washika mikia tupuSisi wananchi wa Morocco hotel tunachojua tumeingia kwenye Top4 na mwakani tunacheza Uefa.
Mbappe asiwe na wasiwasi na sisi, kwenye ishu ya ushangiliaji hatutamuangusha cha msingi aongee na wenzake atuhakikishie the penalty GOAT hawi na madhara[emoji7][emoji108][emoji91]
[emoji1073][emoji119]View attachment 2450151
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Endelea kuamini mizimu na dua mbaya kama kikwazo cha maendeleo kumbe ni imani potofu ndizo zinazokuchelewesha.
Wakati wanafuzu kombe la dunia uliwaombea dua ili wafuzu?
Tanzania haijafuzu kombe la dunia tangu iumbwe nayo huwa tunaiombea dua mbaya?
Hata ukicheki kwa Mwamposa matokeo yatakuja yale yale tu France lazima ashindeKesho baada ya kutoka kanisani tuu, natafuta chimbo zuri la kucheki Fainal.
Kwahyi baada ya kutoka ibadani jambo ni moja tu Fainali.
Nyumbani natarajia kurudi keshokutwa.πππ
Cc: Depal
Hatupaswi kuingilia faragha zakeHata Mayele ana jezi 1 tu
Nipe ushahidi unaoonesha anazo nyingi?
Kwahiyo mizimu ipo kuadhibu tu haiwezi kukusaidia ukatoboa kimaisha?Kama mizimu hamna kamtukane mzazi wako
Mbappe asiwe na wasiwasi na sisi, kwenye ishu ya ushangiliaji hatutamuangusha cha msingi aongee na wenzake atuhakikishie the penalty GOAT hawi na madhara
Akidhibitiwa huyo tu baaasii
Uzuri dogo ni fundi sana.Mbappe asiwe na wasiwasi na sisi, kwenye ishu ya ushangiliaji hatutamuangusha cha msingi aongee na wenzake atuhakikishie the penalty GOAT hawi na madhara
Akidhibitiwa huyo tu baaasii
Ulaya wenyewe haiwataki.Mnoooo,
Acha sasa wakajiunge na umoja wa Ulaya vizuri ili next time watokee Ulaya sio Afrika
Punguza utani kwenye vitu serious.Mchezaji bora wa mashindano kwa upande wanguView attachment 2450134