Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tukubaliane hakuna forth part. Yaani ni First , Second, Third na washiriki wengine tu. So hapa muarabu ni sawa na muarabu mwenzake wa qatar nothing special.
Sisi wananchi wa Morocco hotel tunachojua tumeingia kwenye Top4 na mwakani tunacheza Uefa.
 
Kama mizimu hamna kamtukane mzazi wako
Endelea kuamini mizimu na dua mbaya kama kikwazo cha maendeleo kumbe ni imani potofu ndizo zinazokuchelewesha.

Wakati wanafuzu kombe la dunia uliwaombea dua ili wafuzu?

Tanzania haijafuzu kombe la dunia tangu iumbwe nayo huwa tunaiombea dua mbaya?
 
Kesho baada ya kutoka kanisani tuu, natafuta chimbo zuri la kucheki Fainal.

Kwahyi baada ya kutoka ibadani jambo ni moja tu Fainali.

Nyumbani natarajia kurudi keshokutwa.😂😂😂

Cc: Depal
Hata ukicheki kwa Mwamposa matokeo yatakuja yale yale tu France lazima ashinde
 
Mbappe asiwe na wasiwasi na sisi, kwenye ishu ya ushangiliaji hatutamuangusha cha msingi aongee na wenzake atuhakikishie the penalty GOAT hawi na madhara

Akidhibitiwa huyo tu baaasii

Sijaona mchezaji wa Ufaransa wa kumzuia Messi walishindwa wakina pepe, Ramos, Gatusso labda umapecano ataweza[emoji23]
 
Mbappe asiwe na wasiwasi na sisi, kwenye ishu ya ushangiliaji hatutamuangusha cha msingi aongee na wenzake atuhakikishie the penalty GOAT hawi na madhara

Akidhibitiwa huyo tu baaasii
Uzuri dogo ni fundi sana.
Wenzie wachangamke tu

Nimepata huzuni Konate anaumwa.
Kale kashoti angekaficha kwapani.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom