United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Wew ni nin hiki
Acha woga France tunabeba ndoNitarud baadae kuja kusherehekea[emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073]
Kijana mbona unaposti vitu havieleweki ichi ni kivuli Cha kitu Gani mbona naona kama picha ya mchezaji akikosa penati[emoji3577]View attachment 2450467
Sina kTubet ukifungwa nipe K
Ameeen,siogop sema hum team PESSI wana kelele sana had kero.Acha woga France tunabeba ndo
Hawana loloteAmeeen,siogop sema hum team PESSI wana kelele sana had kero.
Akifungwa na Leo zinakua tatuKatika Fainal tatu zilizopita alizoingia Argentina, amepoteza mbili na kushinda moja.
Amepoteza fainalibza mwaka 1990 na 2014.
Huku akishinda Fainal ya mwaka 1986 pale Mexico
Dudu washaWew ni nin hiki
Mchezaji Bora wa Mechi ya Leo iyo mechi wanacheza na Saudi Arabia au acha kuota kijana kumekuchaMessi anaenda kuchuka usiku wa Leo tuzo 4
Mchezaji Bora wa kombe la dunia
Mchezaji Bora wa mechi ya Leo
Mfungaji bora wa kombe la dunia
Medali ya ushindi wa kombe la dunia
View attachment 2450508
Kwanin unaposti picha za uchi public kijana acha Bangi ivo ujafungwa unachanganyikiwa ukifungwa itakuajeDudu washa
Au sio πππHizi ni fitna tu... ndo mana wamebebwabebwa tu mpaka wakafika fainali na huyo mluguru wenu ili muje mumpe Kombe la dunia muje mseme ana historia kali sana!
Hili nililijuaga na nikawaambiaga watu mapema sana haki ya mungu... "hii fainali huenda akacheza Argentina na Portugal" wakaona Ronaldo akiingia fainali ataua mtu wakaamua wawatoe kwa fitna wawapeleke hao wahuni na wabaguzi kabambe kutoka amerika kusini! Mpira wa siku hizi ni ushetani na michongo tu all over the world! ππ