Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

America nzima Kuna weusi Ila Argentina tu ndyo hakuna weusi wabaguzi wakubwa nyie
Mbape anakula karanga mbichi sshv [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji471][emoji471][emoji471]
 
Messi anaenda kuchuka usiku wa Leo tuzo 4

Mchezaji Bora wa kombe la dunia
Mchezaji Bora wa mechi ya Leo
Mfungaji bora wa kombe la dunia
Medali ya ushindi wa kombe la dunia
IMG-20221127-WA0012.jpg
 
Hizi ni fitna tu... ndo mana wamebebwabebwa tu mpaka wakafika fainali na huyo mluguru wenu ili muje mumpe Kombe la dunia muje mseme ana historia kali sana!

Hili nililijuaga na nikawaambiaga watu mapema sana haki ya mungu... "hii fainali huenda akacheza Argentina na Portugal" wakaona Ronaldo akiingia fainali ataua mtu wakaamua wawatoe kwa fitna wawapeleke hao wahuni na wabaguzi kabambe kutoka amerika kusini! Mpira wa siku hizi ni ushetani na michongo tu all over the world! 😔😭
Au sio 😂😂😂
 
Back
Top Bottom