Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

America nzima Kuna weusi Ila Argentina tu ndyo hakuna weusi wabaguzi wakubwa nyie
Mbape anakula karanga mbichi sshv [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji471][emoji471][emoji471]
Kiongozi mbona cameroon kulikuwa hamna hata mzungu mmoja 😀
Tutengeneze tu vyakwetu navyo viwe vizuri kama wenzetu we umeona timu za africa zilivyocheza wachezaji kama wana viroba mgongoni
 
Yani mashabiki wa France shangilieni kbsa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] huyo mapunye kirikuu ana gundu na kombe la dunia timu ibebe kombe la dunia kila mechi inapewa mipenati
 
Yani mashabiki wa France shangilieni kbsa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] huyo mapunye kirikuu ana gundu na kombe la dunia timu ibebe kombe la dunia kila mechi inapewa mipenati
France angekuwa hajabeba World Cup hivi karibuni ningesema Game ya leo anaweza akambania Argentina asibebe.

Mbape amenyanyua kwapa kubeba hili kombe 2018 pamoja na wenzie, wao pia ni wanadamu. Hawawezi kukaza mshipa kumbania Messi akiyepambana ktk carrier yake kwa zaidi ya miaka 18 pasipo World Cup.

Hii ni nukuu kwa hisani ya Aleyn iwafikie Wafaransa weusi wote..kina

ukikaidi utapigwa2 United ya Ferguson
Scars NAJYUZ
 
Sisi ufaransa kombe la dunia ni kwa ajili ya watu weusi
AFU furaha yetu ufaransa ni mapunye akose kombe la dunia kirikuu wa manzese
 
Kiongozi mbona cameroon kulikuwa hamna hata mzungu mmoja [emoji3]
Tutengeneze tu vyakwetu navyo viwe vizuri kama wenzetu we umeona timu za africa zilivyocheza wachezaji kama wana viroba mgongoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…