United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
ayo ndio mambo yakujadili watu wazimaFrance wanachukua tena back to back kwa sababu wana timu nzuri techinically kuliko Argentina.
Licha ya damu changa pia wana watu wa kuamua matokeo.
Siioni Argentina wakitoboa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani argemfyko Ata wacheza na jamaa wa Mirembe hawabebi kombe ngooooYani hko kimess mapunye kirikuu kifupi kinazidiwa urefu na kombe la dunia afu abebe KΓΆmbe labda aliibe
Wewe unawajua wa-argentina vizuri?! Au unaijua historia ya hao watu?!Argentina hawana dhambi tunawaombea wabebe kombe
Wew ni shabiki wa Messi hatukupi ratiba pambana na Hali YakoGame ni muda gani wakuu??
Messi Ni GOAT wa kitu Gani mbona mnatamkatamka ovyo maneno makubwa mbona vijana hamna adabu GOAT wakupiga penati za mchongo auMessi atawaonyesha kwanini ndiye GOAT..
Mungu hajakosa kazi za kufanya hadi aze kuwasikiliza wavuta Bangi argemfyko kombe ni Kwa ajili ya FranceArgentina hawana dhambi tunawaombea wabebe kombe
Moja ya vitu ambavyo unaongea hadi wafaransa wenyewe wanakushangaa hii ni mojawapoMessi wako leo atawekwa mfukoni kwa dakika zote 90
Tumshangee Kwa kitu Gani Yan sis tumeogope babu mapenati kuwa serious wew Messi labda Saudi Arabia ndio wanamuogopa sio FranceMoja ya vitu ambavyo unaongea hadi wafaransa wenyewe wanakushangaa hii ni mojawapo
Maumivu yaki zidi kamuone daktariMessi Ni GOAT wa kitu Gani mbona mnatamkatamka ovyo maneno makubwa mbona vijana hamna adabu GOAT wakupiga penati za mchongo au
Tumshangee Kwa kitu Gani Yan sis tumeogope babu mapenati kuwa serious wew Messi labda Saudi Arabia ndio wanamuogopa sio France