Boya wewe[emoji38] na mbape wakoKiba100
Mbona Canada hawakuwa na red indian hata mmoja?America nzima Kuna weusi Ila Argentina tu ndyo hakuna weusi wabaguzi wakubwa nyie
Mbape anakula karanga mbichi sshv [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji471][emoji471][emoji471]
Nin hichi umeleta kijana mbona unatuleta madudu madudu embu tutolee madude Yako ya ajabu sis
Kwani si yamebakia masaa tu! Baada ya mpira kumalizika, ukweli utajulikana.Moja ya vitu ambavyo unaongea hadi wafaransa wenyewe wanakushangaa hii ni mojawapo
Kati ya hayo magoli 5 ya Messi, magoli ya penati ni mangapi?Maumivu yaki zidi kamuone daktari View attachment 2450698
Kama ni HivMaumivu yaki zidi kamuone daktari View attachment 2450698
Kachukue ufunguo receptionNiwaibie siri team Messi, Karim Benzema leo yupo
FIFA na dunia hawajui ayo tunacho jua ni magoalKati ya hayo magoli 5 ya Messi, magoli ya penati ni mangapi?
Hujawahi kuwa upande wa ushindi toka huu uzi uanzeSisi ufaransa kombe la dunia ni kwa ajili ya watu weusi
AFU furaha yetu ufaransa ni mapunye akose kombe la dunia kirikuu wa manzese
Le Championee 🎖️🏅🏆🥇Glory Glory France.
Utabiri upi mbona Kuna mwamba alishawah tabiri mwaka 2010 ndio utakua mwisho Wa Dunia ila nin kilitokea badaa ya 2010 ndio kwanza watu tunazidi kuzaliana Kwa Kasi kwahyo usijitoe ufahamu France ndio bingwa wa Dunia mwaka 2022Uyu jamaa utabiri wake unaenda kutimia siku ya Leo, mwaka 2015 aliweza kutabiri kombe la dunia kuchezwa December 2022, na messi anaenda kuwa GOATView attachment 2450728
Wawape na penati kabisa mana FIFA wapo kibiashara zaidiPage ya FIFA imejaa post za arPENtina tu[emoji107][emoji107][emoji107][emoji35]
Mbona Croatia hawana mtu mweusi bana. Kutikua na mtu mweusi sio shida sana.Mbona Canada hawakuwa na red indian hata mmoja?
Mm ní shabiki mkubwa wa Lionel Andres Messi 'La pruga' Ila sioni leo Argentina akibeba ubingwa mbele ya France.Messi atawaonyesha kwanini ndiye GOAT..
Fainali 3 kashinda 2...hii ni ya nne sasaDidie deschamps kocha mwenye uwezo mdogo na bahati,uglyfootball...Ufaransa inakizazi cha wachezaji wenye vipaji na wazuri.