Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wale wa kubet

Kuna jamaa mmoja mfupi anaitwa MBUZI

Ana magoli matatu ya penalty za mchongo...moja alikosa

Leo nabet anaeza pata tena penalty ya mchongo

Otherwise game itakua poa sana

Nawasilisha!


(Uchokozi)
Huyu jamaa anayeitwa MBUZI hivi karibuni hupenda kuingia uwanjani akitafuna tafuna bablish kama huyu hapa ( hata leo ukiangalia makini utamuona!)
goat.gif
 
Uyu jamaa utabiri wake unaenda kutimia siku ya Leo, mwaka 2015 aliweza kutabiri kombe la dunia kuchezwa December 2022, na messi anaenda kuwa GOATView attachment 2450728
Utabiri upi mbona Kuna mwamba alishawah tabiri mwaka 2010 ndio utakua mwisho Wa Dunia ila nin kilitokea badaa ya 2010 ndio kwanza watu tunazidi kuzaliana Kwa Kasi kwahyo usijitoe ufahamu France ndio bingwa wa Dunia mwaka 2022
 
Mbona Canada hawakuwa na red indian hata mmoja?
Mbona Croatia hawana mtu mweusi bana. Kutikua na mtu mweusi sio shida sana.

All in all hawa Waargentina wana ubaguzi wa rangi ukifatilia historia utafahamu

Hata majangili ya ujerumani wa NAZI walikwenda kujificha huko Argentina

Hata Hitler mwenyewe kuna tetesi alikimbilia huko
 
Messi atawaonyesha kwanini ndiye GOAT..
Mm ní shabiki mkubwa wa Lionel Andres Messi 'La pruga' Ila sioni leo Argentina akibeba ubingwa mbele ya France.

Naheshimu maoni yako kama ambavyo niliheshimu mawazo ya Page 94 na England yake.

Tusubiri dakika 90 za kuamua bingwa.

Come on you les bleus.[emoji1229][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom