Mnakufa nyingi mapema sana.Team France tujuaneee
Mbona sjamuona ndo yup paleNamjua davido tu hapoo
Duh umewah mapemaMlete MessiView attachment 2450850
Davido kashamaliza tayariNmeskia et davido naye atakuepo nasubr hapa
Beshti yake!!!!Tumemaliza Novena leo tukiongozwa na Pop Francis kuiombea nchi yetu ya Argentina..hivyo ushindi upo miguuni....wale Brazili masalia tukutane huku kombe lirudi America.. [emoji3] [emoji3]
Niambie beshte yangu miee..leo Simba wanaua watu kule MwanzaBeshti yake!!!!
No tengo nada cariño 😛Te escucho cariño
Ata ya Leo ni nzuri sema mda ulikua mdogo afu warabu sio watu wa mambo mengiHii show ni cha mtoto kwa show aliyoifanya Camilla Cabello Ufunguzi wa UEFA 2022.
Angalia mpaka mwisho
Nimeona Beshti....Niambie beshte yangu miee..leo Simba wanaua watu kule Mwanza
Acha kujifariji, Messi ananyanyua kwapa leo na anatundika daruga kwa National team rasmi, kifupi anastaafu kwa heshima.Yaaan mashabiki wa argentina ni wengi sana uwanjani kama vile wameshajua kombe wanachukua, hivi watu wanaichukulia poa francee eeh, leo ndio mtaona mpira wa kibabe,... maana france, wana nguvu sio mchezo
Count me In....Team messi tujuane mapema..!![emoji120][emoji120][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Acha kupenda ubishani wewe msukule wa MondiHii show ni cha mtoto kwa show aliyoifanya Camilla Cabello Ufunguzi wa UEFA 2022.
Angalia mpaka mwisho
NIMESHARUDI NIPO MAGETONI TAYARIwahi usije ukapitwa na utamu
Wamefanya vizur Kwa Hilo tuwapongezeQatar sina deni nao