Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yaaan mashabiki wa argentina ni wengi sana uwanjani kama vile wameshajua kombe wanachukua, hivi watu wanaichukulia poa francee eeh, leo ndio mtaona mpira wa kibabe,... maana france, wana nguvu sio mchezo
Acha kujifariji, Messi ananyanyua kwapa leo na anatundika daruga kwa National team rasmi, kifupi anastaafu kwa heshima.
 
Back
Top Bottom