Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina Vs Mexico pamoja na mechibya Argentina Vs Croatia ndio mechi zilizohudhuriwa na watazamaji wengi katika michuano ya mwaka huu.

Mechi hizo zote zilifanyika katika uwanja wa Lusail na kuhudhuriwa na idadi ya watazamaji 88,966.
 
ARGENTINA UNAYEJIPANGA KUJA BAADA YA USHINDI WEWE NI JAU TUUUUUU
TUNATAKA TUKUONE MUDA HUU WA MPAMBANO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…