Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #28,681
NA SPANISHJifunze lugha ya Mbappe hutalala njaa
Na hiyo ndio ya kwanza kujifunzaJifunze lugha ya Mbappe hutalala njaa
Nyieee¿cuál?
Kwan yeye ndio nan?Hadi Dr. Leak kakubali kwamba ufaransa wanachukua, japo anasema alipenda argentina wachukue, and, sababu ni kasi ya washambuliaji
Wew tulia watu watemeee madini kama huwelewi tafuta France to France dictionaryNyieee
Mkuu tunatetea trophy hiiSawa mkuu ila andaa leso
In sha Allah,Baada ya fainali hizi panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu tutakutana tena kwa ajili ya fainali za mwaka 2026 pale Marekani, Canada na Mexico watakapoandaa kwa pamoja.
Dr leak mchambuzi wa ndondo hyo acha nae atakusumbuaKwan yeye ndio nan?
Speed ya team, ndio bigger determinant ya timu gani itachukua kombe, ambapo france anapewa credit zaidiHadi Dr. Leak kakubali kwamba ufaransa wanachukua, japo anasema alipenda argentina wachukue, and, sababu ni kasi ya washambuliaji
WHO IS DR LEAK? MUNGU SAFARI HII AMEamua messi ALIBEBEHadi Dr. Leak kakubali kwamba ufaransa wanachukua, japo anasema alipenda argentina wachukue, and, sababu ni kasi ya washambuliaji
UMECHANGANYIKIWA MPAKA UNAJIKOTI MWENYEWE MKUU RELAXXXXXXXSpeed ya team, ndio bigger determinant ya timu gani itachukua kombe, ambapo france anapewa credit zaidi
Wa kishua upooo?4-2-3-1 ✌️✌️✌️
Nimejaa tele mbele ya Tv 🔥Wa kishua upooo?
Mpira wa kwenye makaratasi huo endelea kukaza fuvuSpeed ya team, ndio bigger determinant ya timu gani itachukua kombe, ambapo france anapewa credit zaidi
Baada ya chama letu kutoka ulihamia wapi kwani?Nimejaa tele mbele ya Tv 🔥