Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mtumishi wa Mungu wa pale kawe akijaza uwanja wa mkapa kama mtumishi wa FIFA Messi akijaza uwanja pale Qatar. Hongera bony Mungu akujalie afya njema japo hutaki kufananishwa na mtumishi wa FIFA.
 
Wafaransa mmeenda wapi tena, mbona mmekimbia mapema sana?
Kelele zimewaisha eeh? Tuliwaambia hakuna wa kumzuia Messi wala Argentina... Habari mnayo...
Kwa taarifa tu Argentina tuna raha sana 😍😍😍😍😍
MPIRA WALIKUWA WANACHEZEA KWENYE KEYBOARD WAKASAHAU KWAMBA MPIRA UNACHEZWA QATAR UWANJANI DAKIKA 90
 

Acha wapigwe tu
 
Kama wamechezewa vibaya unataka wasipewe, mpira unaendeshwa na sheria sio hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…