Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ukikasirika natuma goli la di maria😂
1671379436706.png
 
Ufaransa hata off target hamna, wanazurura zurura tu uwanjanj😅😅😅
 
World cup ya 2014 kama asingeumia Di Maria, walikua wanabeba Argentina. Kocha kajua Di Maria ni injury prone, ndio maana akamtunza kwaajili ya big ocassion!

Kila siku nawaambia humu, usitume wavulana kwenye shughuli ya wanaume. Mbappe hajui anafanya nini uwanjani, watu wanatembea nae kila sehemu. Wahuni wamevunja midfield, wafaransa hawatembei.

Ngoja tuone second half watarudi na mbinu zipi!
Umetishaa mkuu,mashabiki wengi wa mpira tupo na Argentina
 
Back
Top Bottom