Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

World cup ya 2014 kama asingeumia Di Maria, walikua wanabeba Argentina. Kocha kajua Di Maria ni injury prone, ndio maana akamtunza kwaajili ya big ocassion!

Kila siku nawaambia humu, usitume wavulana kwenye shughuli ya wanaume. Mbappe hajui anafanya nini uwanjani, watu wanatembea nae kila sehemu. Wahuni wamevunja midfield, wafaransa hawatembei.

Ngoja tuone second half watarudi na mbinu zipi!
WASHATEKENYWA MBUPU SIJUI WATAKUJAJE. FRANCE FANS UWANJANI WAMEPOAAAAAAA KAMA SIJUI NINI
 
Picture source.
Game of Thrones
S6Ep9: Battle of Bastard
FB_IMG_16711339913659760.jpg
 
Dembele leo mchumba wake kamtusi kabla ya kuja kwenye mechi
 
Back
Top Bottom