Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
We Kenge usilazimishe kila Mtu apende unachopenda, duniani tuko Watu B 8 kasoro M 200, fikiri kwa akili za kuvukia barabara tu kuwa kwanini tusitofautiane upenzi na ushabiki wa timu na wachezaji?
Kenge wa bluu wewe.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huhuuhuuu hili kenge mbona kama nakujua