reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Kageuka panya road.Mbappe ana kesi ya uzururaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kageuka panya road.Mbappe ana kesi ya uzururaji
Mpaka Sasa una huu msimamoDi maria Mchezaji mzuri ila hata siku moja si wa kuamini hasa pale unapomtegemea
Acha tu nimekua mnyonge kama nimebigwa bomu la nyuklia ila hongereni kama mtanyakua kombe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yuko wapi Scars na Saint Anne ?
Pele atabaki kuwa pele tu.Walid Regragui: Nampenda huyo kijana mdogo Mbappe. Itanifanya nifurahi sana nikiona akishinda hili taji la WC, atakuwa anajiweka karibu na kile alichokifanya Pele
![]()
Wanezidiwa kila kitu. Fainali imeboa yn imekua nyepes sn kwa argentinaWamezidiwa mbinu, uwezo na nyota🐐
HahahahaNimefurahi sana, sababu hii ni dharau ety unachukua kombe mara mbili mfululizo as if ulikua unacheza na skeleton.
Ni me au ke?Argentina akimuua Ufaransa, kuna mkereketwa wa Ronaldo niko naye hapa tumewekeana dau.....namuona amevimba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbappe ana kesi ya uzururaji
HahahahaaaaaNimefurahi sana, sababu hii ni dharau ety unachukua kombe mara mbili mfululizo as if ulikua unacheza na skeleton.
Tuliwaambia Mungu atokei kijijini kwao so chuki zao ni nonsense tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakijitokeza nitag Mkuu...Nakuomba sana...
Kuna Watu waliongea mbovu sana kwa Messi....
But Mungu ni Nani....
Ninao boss, huyu jamaa ni mzuri wa surprise attack ila pale unaposema 100% anaweza kukuangusha..Mpaka Sasa una huu msimamo
I LOVE THIS SNAP