Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilisema ila kocha wa Agentina bwege uyu
 
Msifikiri Senegal anaweza kumfunga Ecuador,wale jamaa wanatoka america ya kusini..mkumbuke kule Kuna vidume vimebaki kama vile Chile,Colombia,Paraguay,na huyo Uruguay amepita Kwa mbinde sana,labda tupambane na maostadh wale...
 
Tunaomba Uingereza tukutane na Argentina mapema sana. Iwe 16 bora endapo atabahatika kupenya.

Tutamtandika mpaka tukanong'onezwe vyumbani kuwa tusimuaibishe Messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…