Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mimi wala sishangai japo Saudia sio team kubwa lakini wana uzoefu sana na mashindano makubwa wameshiriki sana na huko nyuma wamefungwa sana ni process halafu hawa walikuwa wanawaalika sana hizi team kwao kucheza nao mechi za kirafiki imejenga kuondoa uwoga na kikubwa Saudia wame invest sana katika league yao na haya ndio matokeo kumbuka wote wanacheza league ya nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…