Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Daah hakuna Siku nimeangalia mpira kwa pressure Kama Leo hasa waliporudisha magoli yote mawili
 
Yeah mfungaji bora MESSI, mchezaji bora MBAPPE. Naona Messi finally kapeleka heshima nchini kwake kwa kuvunja records zaidi ya tatu.
Messi ana 7 na Mbape anazo 8, Messi anakuwaje mfungaji bora au hufuatilii ufungaji nini?
 
Agenda ya kombe la dunia 2022 imeshapita; tupambane na yanayotuhusu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…