Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Sasa argentina kacheza mechi 7Hizo penati mbili wamenyamaza kimyaaa. Wangepata Argentin hadi makalio yangeongea humu.
Kapewa penalty 5
Lazima watu wabwabwaje mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa argentina kacheza mechi 7Hizo penati mbili wamenyamaza kimyaaa. Wangepata Argentin hadi makalio yangeongea humu.
Penati za halali mtu kashika ndani ya boksi unaacheje kufunika mbona tumekubali na tumelizia mpewe kombeNimefurahi leo baada ya France kupewa penati mbili hivyo yale maneno yenu ya wivu kwa Messi na penati zake hayatakuwepo tena.
Why notCommentator anauliza
Should it be the best fifa wc ever 🔥
Itakuwa aliwapa kichukua kombe.Ko mkeka wa drake umechanika?
Atakuja mvimbiwa makande aanze kutapika.Mjadala wa mchezaji bora kati ya CR7 na Messi ufungwe rasmi
Hamna namna mkuuNimechukizwa na hawa kenge kuchukua hili kombe
Messi ana 7 na Mbape anazo 8, Messi anakuwaje mfungaji bora au hufuatilii ufungaji nini?Yeah mfungaji bora MESSI, mchezaji bora MBAPPE. Naona Messi finally kapeleka heshima nchini kwake kwa kuvunja records zaidi ya tatu.
Hamna namna mkuuNimechukizwa na hawa kenge kuchukua hili kombe
SureWhy not
Spain walipiga wazungu penati 3 zote wakakosa tena mfululizo.Ila waafrika wenzetu mda mwingne wanatutia aibu tuu...
Mbappe kajitahidi sana ila support ndogoo
MBAPPE you have fought the good fight. The future is Mbappe We will always remember this.