Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yeah mfungaji bora MESSI, mchezaji bora MBAPPE. Naona Messi finally kapeleka heshima nchini kwake kwa kuvunja records zaidi ya tatu.
Kiufupi huwez kulaamu watu wamepiganaSidhani kama kuna mtu atamlaumu mbappe
Nashukuru sana MKUU
Say no more Babe....France was hooooot but Argentina was hotierrrrrrrrrrrrrrr
Miaka minne ijayo sidhani kama watakua hivi tenaMbape hana wasiwasi anajua bado ana nafasi tena kwenye michuano hii anatoa macho tu 😃
Commentator anauliza
Should it be the best fifa wc ever [emoji91]
Kbs ni bonge la mechi, salut kwa mbape, salut kwa messiMoja ya finali nzuri sana
Mbappe ni allien wa soka
nilikuwa nimebinya mambupu hawa kina Messi kidogo wanitoe roho yangu 🤤🤤🤤😭😭😭😭 ilibidi nizime TV nikatoka out na jfNational Anthem njoo baba sasa ndio muda wa kukudai🤣🤣🤣🤣
Ni noma mkuu Nature imemzawadia trophySisi ambao tumebahatika kumshuhudia Messi ni baraka sana kwetu, kipind wajukuu zetu wanamsoma huyu mwamba kweny vitabu na dicumentaries mbalimbali sisi tutawaweka kitako kuwaeleza kiunagaubaga juu ya hiki kiumbe cha ajabu kwenye soka.
No doubt Messi is the GOAT
Bet wonMimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
Amen asitukuzwe mtu bali Mungu.Ndugu yangu katika Imani, kama tulivyokubaliana huu ushindi ni kwa utukufu wa Mungu tunayemuabudu. Yesu ni Mkuu Sana.
Ilikuwa ni ngumu ila Mungu kadhihirisha Ukuu wake.
Asante Yesu kwa kujibu maombi yetu.
Kwaniaba ya waargentina wote nchini Tanzania. TumezipokeaArgentina mmeshinda hongera sana. Ila mmetujambisha balaa
watakuwepo wengi bado umri mdogoMiaka minne ijayo sidhani kama watakua hivi tena
Lakini mda utasema
Anaeza jikuta akawa kama messi wa zamani mchezaji mzuri timu mbovu
Hazijapasuka kweli maana kwa ile shughuli ya mbappe utakuwa umeumia sana[emoji16][emoji16]Hii mechi nimebana pumbu sana hatimaye tumebeba ndoo