Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sisi ambao tumebahatika kumshuhudia Messi ni baraka sana kwetu, kipind wajukuu zetu wanamsoma huyu mwamba kweny vitabu na dicumentaries mbalimbali sisi tutawaweka kitako kuwaeleza kiunagaubaga juu ya hiki kiumbe cha ajabu kwenye soka.

No doubt Messi is the GOAT
 
Our G.O.A.T
Greatest Of All Time
Screenshot_20221218-205752_Instagram.jpg
 
Sisi ambao tumebahatika kumshuhudia Messi ni baraka sana kwetu, kipind wajukuu zetu wanamsoma huyu mwamba kweny vitabu na dicumentaries mbalimbali sisi tutawaweka kitako kuwaeleza kiunagaubaga juu ya hiki kiumbe cha ajabu kwenye soka.

No doubt Messi is the GOAT
Ni noma mkuu Nature imemzawadia trophy
 
Ndugu yangu katika Imani, kama tulivyokubaliana huu ushindi ni kwa utukufu wa Mungu tunayemuabudu. Yesu ni Mkuu Sana.

Ilikuwa ni ngumu ila Mungu kadhihirisha Ukuu wake.

Asante Yesu kwa kujibu maombi yetu.
Amen asitukuzwe mtu bali Mungu.
ila hii mechi hadi inaisha nimepungua kilo nzima ya steki ....khaaa ilikuwa na preshaa
 
Back
Top Bottom