How about CR7 (the world's most egotic player)?
Ndugu yangu huna macho au ni vipi ivi apo offside ipo wapi uon beki wa France kazid makario wa Argentina kazidi nini mkono ahuusiki ujueSCARS kimbia ujionee hapa, Tukayaita Argentina mbeleko FC yanakataa, VAR ni ujinga tupu wala hauna maamuzi yoyote kwa mpango wao wa FIFA [emoji23]
Ndiyomaana Muamuzi wa pembeni alionesha kibendera lakini Refa akajizima data [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wapi ERoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona nilikuambia nitakaa siti ya pembeni yako hapa
Ni ukweli kabisaKutoka kwa Di Maria ndo kilitufikisha kwenye penalty....japo tumepita
football sio fungu letu, tutakuja kufa 😅😅😅Haki unaweza anguka kwa pressure🙆🙆🙆
Mbona kama umechanganyikiwa mkuu? Ndio furaha ya ushindi au?wewe mbappe wako amekosa kombeee
we ulisema messi apate tuzo zote lakini sio kushika kombe sasa kimemgeukia mbappe
nampenda ila hili kombe halikuwa lake.
kimbia yote ile toka day one amerudi mtupu....poor him
hahahahaha kikubwa kombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNachofurahi ni kuona kila mmoja humu kuna muda alipoteana kwa namna anayoijua yeye
Boy niliweka vice versa, nisharekebisha.Messi ana 7 na Mbape anazo 8, Messi anakuwaje mfungaji bora au hufuatilii ufungaji nini?
Niliwakataza niliwaambia huyo sio mtu wa nature hiyoHao Kenge hawawezi kumsifia Mbappe hata sekunde 1 sababu ya mahaba niuwe tu kwa Miss wao [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Muwe mnaheshimu mawazo yetu sisi tunaoangaliaga mbali kuwa tayari FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo wa kombe la dunia na timu yao 2022, si umeona sasa nilichonena kimedhihirika [emoji848][emoji3]ni kweli ila ukishaenda penalty ndo basi tena